Pages

Tuesday, June 19, 2012

SIKU YA MTOTO AFRIKA ILIVYOFANA MKOANI MBEYA


Watoto pamoja na wageni waalikwa walio fika katika Sherehe hizo
Afisa wa maendeleao ya jamii Alice Sinienga kitengo cha watoto, Akieleza umuhimu wa watoto pia kumkaribisha Mgeni rasmi

Mgeni Rasmi Ndg. Victor Kabuje aliye muwakirisha Mkurugenzi wa Jiji akitoa hutoba wakati wa sherehe hizo.



Watoto wakiwa makini kuandika anacho ongea mgeni Rasmi


Watu mbali mbali waliofika katika sherehe hizo
Watoto wakipata Chakula wakati wa sherehe hizo
Wageni waalikwa nao wakipata chakula
Watoto wakiendelea kupata Chakula
Mtoto mwenye ulemavu wa mikono akiwa anakunywa maji yeye mweyewe na chakula anakula bila kulishwa
Hapa ndio Mwisho wa Sherehe hizi kutoka Jijini Mbeya

Picha zote zimepigwa na Mbeya yetu

Popular Posts