Muakilishi wa Jimbo la Chakechake Omar Ali Sheheakiwa pamoja na  Mwakilishi wa kuteuliwa Panya Othman CCM wakiingia katika Ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar 
    Waziri wa Nchi Afisi ya Makamu wa Pili wa rais Mohd Aboud akibadilishana  mawazo na Muakilishi wa Mji Mkongwe Ismail Jusa Ladhu ndani ya Ukumbi  wa Baraza la Wawakilishi huko Bweni Nje ya Mji wa Zanzibar.  
    Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakisikiliza kwa makini hoja  mbalimbali zinazotolewa ndani ya Baraza hilo huko Bweni Nje ya Mji wa  Zanzibar.
    Wanafunzi wa Skuli ya SOS ya Kiembe samaki waki wa nje ya  Ukumbi wa  Baraza la Wawakilishi wakijitayarisha kuingia  kwaajili ya kusikiliza  Michangio mbalimbali inayotolewa na Wajumbe wa Baraza hilo.Picha na Yussuf Simai-Maelezo,Zanzibar