Pages

Tuesday, June 19, 2012

MWENYEKITI WA TUME YA KATIBA JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. Kulia kwa Jaji Warioba ni Dkt. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume hiyo.
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam. Kulia kwa Jaji Warioba ni Dkt. Salim Ahmed Salim, Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Tume hiyo na kushoto ni Bw. Assaa Rashid, Katibu wa Tume.
Baadhi ya Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba wakifuatilia maelezo ya Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Joseph Warioba wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu utekelezaji wa kazi za Tume hiyo leo (Jumanne, Juni 19, 2012) katika Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam.

Popular Posts