Pages

Monday, June 18, 2012

Semina ya Siku Moja Kwa Viongozi wa Kidini katika Kukuza Dhana ya Utalii Kwa Wote

Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake katika ufunguzi wa semina ya siku moja kwa Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofanyika katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo,(kulia) Msahauri wa Rais masuala ya Utalii, Issa Ahmed Othman,na Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, Said Ali Mbarouk,(kushoto) Katibu mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Ali Halil Mirza.
Baadhi ya Viongozi wa madhehebu mbali mbali ya kidini wa Mkoa wa Mjini Magharibi wakisikiliza kwa makini hotuba ua ufunguzi wa semina ya siku moja ya Viongozi wa kidini katika kukuza dhana ya Utalii kwa wote,iliyofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo.Picha na Ramaadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

Popular Posts