Pages

Monday, June 18, 2012

Mussa Azzan Zungu KUWA mwenyekiti wa Bunge.

Mbunge wa ilala(CCM)Mussa Azzan Zungu
---
Bunge la Tanzania limemchangua Mbunge wa ilala(CCM)Dar es salaam, Mussa Azzan Zungu KUWA mwenyekiti wa Bunge.

Spika wa Bunge hilo,Anne Makinda amesema leo kwamba amechaguliwa baada ya kamati ya uongozi kukaa na kupitia majina ya waliopendezwa lakini jina lilopendekezwa lilikua moja tu la Zungu hivyo akawaomba wabunge kulithibitisha jina hilo nao wamefanya hivyo..

Spika Anne Makinda amesema Zungu anaziba nafasi iliyoachwa wazi na George Simbachawene ambaye aliteuliwa hivi karibuni kuwa naibu waziri wa Nishati na Madini.

Akizungumzia hatua hiyo, Zungu amesema atafanya kazi zake kwa uadilifu mkubwa

Popular Posts