
  Lissa Jensen
 
 Lisa Jensen ndie mrembo ambaye atakayeiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Miss World 2012  yanayotarajiwa kufanyika tarehe 18 August huko Ordos,Inner  Mongolia,China katika ukumbi wa Dongsheng Fitness Center  Stadium.Mashindano ya dunia ya urembo mwaka huu ni mashindano ya 62  kufanyika.