Pages

Monday, June 18, 2012

Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia Nyingine

Mkurugenzi wa Jumuiya ya Utamaduni ya Irani sheikh Abulfadhili akitoa maelezo mafupi kuhusiana na madhumuni ya mashindano yalioshirikisha Wanafunzi kutoka Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic waliojadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar
Mkurugenzi wa Idara ya Elimu na Sekondary Khadija Ali Mohd akitoa hotuba ya kuwapongeza Wanafumzi walioshiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Mwanafunzi kutoka katika Skuli ya Kiponda Saleh Ali Saleh akijibu maswali mbalimbali alioulizwa katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Mwanafunzi kutoka katika Skuli ya Lumumba Secondary school Ghania Hemed Salim akijibu maswali mbalimbali alioulizwa katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.
Wanafunzi kutoka katika Skuli ya Lumumba,Benmbela,Hailesalasie,Kiponda na Bilal Islamic wakishiriki katika Mashindano ya kujadili Muundo wa Familia za Kiislamu na Familia nyengine,huko katika Ukumbi wa Afisi ya Jumuiya ya Utamaduni ya Irani iliokuweko Mlandege Zanzibar.Picha na Habari na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Popular Posts