Pages

Tuesday, June 19, 2012

Majaji Wapya Wa Mahakama Kuu Waapishwa na Rais

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Francis Mutungi kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Jacob Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuapisha Mhe Joaquine Antoniette De-Mello kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman na Jaji Kiongozi Mhe Fakihi Jundu pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowaapisha leo Juni 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Naibu Waziri wa Sheria na Katiba Mh Angela Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Mwanasheria Mkuu wa Serikali JAji Werema na Jaji Kiongozi Mhe Fakihi Jundu pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aliowaapisha leo Juni 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam.Picha na IKULU

Popular Posts