Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi(katikati)  akimkabidhi vitabu vya Utii wa sheria ni dhawabu na Baraka za Utii   Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Alhad Mussa Salum baada ya kuvizindua  jijini Dar Es Salaam jana.Kulia ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Said  Mwema na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza la makanisa ya  kipetenkoste Askofu Daniel Aweti
    Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi(katikati)  akizungumza na viongozi wa dini za Kikristo na kiislamu( hawapo pichani)  wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Utii wa Sheria bila shuruti  ulioambatana na uzinduzi wa vitabu vya "Utii wa sheria ni thawabu pamoja  na Baraka za Utii jijini Dar es Salaam jana.(Kushoto ni Inspekta  Jenerali wa Polisi Said Mwema na kulia ni Sheikh wa mkoa wa Dar es  salaam Alhad Mussa Salum.
  Kamishna  wa Operesheni wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja (wa Pili kutoka kushoto)  akiwa pamoja na viongozi wa dini za kiislamu na kikirsto wakifuatilia  kwa makini hotuba wakati wa uzinduzi wa Vitabu vya Utii wa Sheria ni  thawabu pamoja na Baraka za Utii vilivyozinduliwa jana na RaisMstaafu wa  awamu ya Pili Alhaji Alli Hassan Mwinyi.