Pages

Tuesday, June 19, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWANA WA MFALME NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA SAUDIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naMwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi
jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana akimsinidikisa Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi
jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo

Popular Posts