
  ph1. Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu  inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa  Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares  Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza  mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
 
  Rais Jakaya Kikwete akipokea jezi ya timu ya Mpira wa Kikapu  inayocheza ligi ya NBA ya Marekani New York Knicks toka kwa Rais wa  Shirikisho la  Basketball (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares  Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza  mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.
 
 Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais wa Shirikisho la Basketball   (TBF) Bw Mussa Mziya na Makamu wake Bw Phares Magessa walipomtembelea leo  Ikulu Jijini Dar es salaam  na kumueleza mipango ya chama hicho katika kuinua vipaji na viwango vya mchezo.Picha na IKULU