Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto(Global Network of Religions for Children) jana Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo(PICHA NA IKULU)