Mkazi  wa kijiji cha Mdabulo wilaya ya Mufindi ambaye jina lake halikuweza  kupatikana mara moja akiwa amembeba mtoto huku akiendesha baiskeli jambo  ambalo ni mfano wa kuigwa kwa wanaume ambao wamekuwa wakiendekeza mfumo  dume na kuwafanya wanawake ndio pekee wanapaswa kubeba watoto.  Picha/FrancisGodwin Blog.
                      -