Pages

Tuesday, July 10, 2012

MKUTANO WA KANDA YA AFRIKA KUHUSU UWEZESHAJI WA VYAMA VYA SIASA, JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, James Mbatia, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, kufungua rasmi, mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, James Mbatia (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji wa Vyama vingi kutoka Uholanzi, Hans Bruning, wakati Makamu alipofika katika Ukumbi huo kwa ajili ya kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania, James Mbatia (katikati) na Katibu Mkuu wa CCM, Willson Mukama, baada ya kufungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa mkutano wa wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, baada ya kufungua rasmi mkutano huo ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi Mwenyekiti wa Chama c uha CUF, Ibrahim Lipumba baada ya ufunguzi wa mkutano wa wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya washiriki waliohudhuria ufunguzi wa mkutano wa wa siku mbili wa Kanda ya Afrika kuhusu Uwezeshaji wa Vyama vya Siasa, baada ya kufungua rasmi mkutano huo ulioanza leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano huo mara baada ya kufungua rasmi mkutano huo leo Julai 10, 2012 katika Hoteli ya White Sands, jijini Dar es Salaam. Picha na Muhidin Sufiani-Ofisi ya Makamu wa Rais

Popular Posts