Pages

Saturday, July 14, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOTEMBELEA MAKAO MAKUU YA SMART PARTNERSHIP

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika kikao maalumu cha maandalizi ya mkutano wa Commonwealth Partnership for Technology Management (CPTM) kwenye makao makuu ya CPTM inayojiandaa kwa mkutano wake mkuu wa Global 2012 International Smart Partneship Dialogue unaotarajiwa kufanyika mwezi Mei Mwakani jijini Dar es salaam. Picha na IKULU

Popular Posts