Pages

Tuesday, July 10, 2012

Rotary Club ya Mzizima Dar es Salaam Yapata Rais Mpya

Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (katikati) akivalishwa medali kama ishara ya kumsimika kuchukua nafasi hiyo na Rais aliyemaliza muda wake, Dk. Emelia Mugonzibwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mmoja wa viongozi Rotary, Hatim Karimjee.
Rais mpya wa Klabu ya Rotary ya Mzizima Dar es Salaam, Ambrose Nshala (katikati) akipongezwa na Rais aliyemaliza muda wake, Dk. Emelia Mugonzibwa katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kulia ni Bi. Stella Longway mwanamke wa kwanza kushika nafasi ya urais wa Rotary barani Afrika.

Popular Posts