Pages

Tuesday, July 10, 2012

WASHINDI WA NAFASI YA UJUMBE WILAYA KUTOKA KATA YA KIVUKONI WILAYANI ILALA(CCM)

Baada ya kinyang’any’iro cha uchaguzi wa Mkutano Mkuu Kata ya Kivukoni wilayani Temeke jijini Dar es Salaam uliofanyika katika viwanja vya Karimjee, pichani ndio walioibuka mabingwa na kuchaguliwa kuwa wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wilaya. Kushoto ni Ndugu Adriano Richard Haonga na kulia ni Ndugu Zulfikar Ali Mzige.

Popular Posts