![]()  | 
| Kikosi cha timu ya mashabiki wa Manchester kikiwa katika picha ya pamoja. | 
![]()  | 
| Kikosi cha Manchester City kikiwa katika picha ya pamoja. | 
![]()  | 
| Wachezaji wa timu ya mashabiki wa Chealsea na Barcelona wakichuana vikali katika mchezo wao wa fungua dimba ambapo timu ya Barcelona imeshinda goli 1-0 dhidi ya Chealsea. | 
![]()  | 
| Kikosi cha mashabiki wa timu ya Barcelona kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya mchezo huo. | 
![]()  | 
| Wachezaji wa timu ya Arsenal wakisubiri mchezo wao kuanza . | 
![]()  | 
| Timu ya Bayern Minicheni wakisubiri kuanza kwa mchezo wao. | 
![]()  | 
| Timu ya mashabiki wa Chealsea wakiwa katika picha ya pamoja . | 
![]()  | 
| Eneo hili likiwa limeandaliwa kwa ajili ya mashabiki maalum wa timu za mashabiki mbalimbali wa timu za Ulaya | 
![]()  | 
| Huduma ya kwanza imeimarishwa ili kuhakikisha wachezaji na mashabiki watakaopata matatizo yeyote katika bonanza hilo wanahudumiwa ipasavyo. | 
![]()  | 
| Mashabiki wa timu ya Barcelona wakiwa na jezi ya timu hiyo | 
![]()  | 
| Mashabiki mbalimbali wakiangalia matukio mbalimbali katika bonanza hilo | 
![]()  | 
| Mashabiki wa Machester United wakiangalia timu yao haipo pichani wakati ilipokuwa ikicheza. | 
![]()  | 
| Mtangazaji wa Clouds FM Mbwiga wa Mbwiguke akimpa kipaza sauti Said Bonge pia wa Kipindi cha Power Breakfast. | 














