Pages

Thursday, July 12, 2012

Mkutano Wa Kukusanya Maoni ya Wananchi Kuhusu Katiba Mpya Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba akibadilishana mawazo na Wajumbe wengine katika Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma Jumatano, Julai 11. 2012, kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Picha na Omega Ngole

Popular Posts