Pages

Thursday, July 12, 2012

Rais Jakaya Kikwete Alipokutana na Viongozi WA Manispaa ya Ilala

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha ikulu Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa wakati meya huyo alipomtembelea na kufanya naye mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo ya Manispaa hiyo.Wengine katika picha ni viongozi kutoka manispaa ya Ilala waliofuatana na Meya juzi.Picha na Freddy Maro-IKULU

Popular Posts