Pages

Saturday, July 14, 2012

Warsha ya Sekta Binafsi juu ya Maandalizi ya Mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabia nchi

Baadhi ya Washiriki wa Warsha ya sekta Binafsi juu ya Maandalizi ya Mkakati wa Taifa wa kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi Wakimsikiliza Mgeni Rasmi Dk Julias Ningu Pichani hayupo wakati wa Ufunguzi wa Warsha huko Kwenye Hotel ya Girafe Mjini Dar es Salaam.
Washiriki wa Warsha ya Sekta Binafsi juu ya Maandalizi ya mkakati wa Taifa wa Kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Tabianchi wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias Ningu Mara Baada ya Ufunguzi wa Warsha hiyo kwenye Hotel ya Girafe Mjini Dar es Salaam.Picha na Ali Meja

Popular Posts