Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib  Bilal, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Rotary Tanzania na Rais wa  Rotary Interantional 2012-13, Sakuji Tanaka, wakati walipofika Ofisini  kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam kwa mazungumzo jana.
 Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed  Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Rotary International 2012-13, Sakuji  Tanaka, baada ya kumaliza mazungumzo wakati Rais huyo alipofika Ofisini  kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es Salaam jana, akiwa na Ujumbe wake kwa  ajili ya mazungumzo. 
Makamu  wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Rotary Tanzania, na Rais wa  Rotary International 2012-13, Sakuji Tanaka, baada ya mazungumzo wakati  walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu Dar es Salaam, jana.


