Pages

Sunday, July 29, 2012

Mkutano Mkuu Maalum Wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo La Bububu Zanzibar.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Magharibi Yussuf Mohd Yussuf akitoa hotuba ya Kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai ili kufungua Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai akisisitiza jambo Baada ya kutolea Ufafanuzi masuala mbalimbali kupitia katiba ya Chama hicho yanayomtaka Mgombea ayasimamie kwa Uhakika huko katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM wakishangilia Hotuba ya Naibu Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.
Baadhi ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika Mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa Kumpata Mgombea Uwakilishi Jimbo la Bububu kufuatia Kifo cha aliekuwa Mwakilishi wa Jimbo hilo,Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi Zanzibar.Picha na Yussuf Simai,Maelezo-Zanzibar

Popular Posts