Pages

Sunday, July 29, 2012

Chagga Day 2012 Leaders Club

Wadau wakipata mbege wakati wa tamasha la CHAGGA DAY lilofanyika katika viwanja vya Leaders jijini Dar es salaam jana.
wadau mbalimbali wakipata mbege pamoja na vyakula vya kiasili kama mseto Kiburu, ndafu, shiro, kitawamacharari, ngararimo, ng’ande, kisusio, mtori, Kisusio na vingine vingi
Bendi ya msondo ngoma ikitoa burudani wakati wa tamasha la Chagga Day jana


Popular Posts