Pages

Saturday, August 4, 2012

TAIFA STARS KUCHEZA NA ZEBRAS YA BOTSWANA AGOSTI 15

Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kucheza mchezo maalum wa Kalenda ya FIFA na timu ya Taifa ya Botswana (Zebras) Agosti 15 mwaka huu, mchezo utakaofanyika jijini Gaborone.
Tayari Kocha Kim Poulsen alishatangaza kikosi cha wachezaji 21 kitakachoingia kambini Agosti 8 mwaka huu tayari kwa mechi hiyo ya kirafiki ya kujipima nguvu.

Popular Posts