Pages

Friday, August 3, 2012

WANAFUNZI 94 WA MT.EVEREST WAPATA KIPAIMARA

Baba askofu Eseubius Nzigirwa akiingia kanisani kwa ajili ya ibada maalumu ya Kipaimara.
Wanafunzi wa shule ya Mt .Everest iliyopo Mbweni Masiati wakijiandaa kuingia kanisani tayari kwa kupata Kipaimara jana tarehe 2 /8/2012.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mt.Everest,Sister Rose akitoa neno la shukrani na hongera kwa waliopata Kipaimara,Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na mwishoni kulia ni baba askofu Eseubius Nzigirwa
Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pamoja na wawakilishi wa wanafunzi waliopata Kipaimara wakikata keki kama ishara ya kupongezana.

Popular Posts