Karibu Ngassa tufanye kazi, maisha menyewe mafupi mshikaji"Kaseja",Ngassa hakuna shaka nimekaribia swaiba. 
     Aliyekuwa mchezaji  wa Azam,Mrisho Ngassa akiwa ameegemea gari yake   aliyokabidhiwa jana mara baada ya kuwasili katika ufukwe wa Coco Beach   kwa kuungana na wachezaji wenzake wa Simba baada ya maridhiano ya   Azam,Simba na yeye kumalizika.Picha na Mdau Machellah