Pages

Friday, August 3, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akutana na Mchungaji Park Ock Soo Muasisi Wa Tasisi ya International Youth Felloship (IYF) ya Jamhuri ya Korea

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mchungaji Park Ock Soo ambaye ni Muasisi wa Tasisi ya International Youth Felloship (IYF) ya Jamhuri ya Korea (kushoto) kwenye makazi yake Mjini Dar es salaam Agosti 3, 2012. Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika lisilokuwa la Kiserikali la Youth Development, Dkt. Elisante Ole Gabriel na wapili kushoto ni IYF nchini Dkt. Kansolele Ntevi.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Muasisi wa Taasisi ya International Youth Fellowship (IYF) ya Jamhuri ya Korea, Mchungaji Park Ock Soo baada ya mazungumzo yao kwenye makazi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Agosti 3, 2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

Popular Posts