Pages

Wednesday, August 1, 2012

Dkt. Asha-Rose Migiro Akutana na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba

Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Asha-Rose Migiro (kushoto) akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Mstaafu Joseph Warioba wakati Dkt. Migiro alipotembelea ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (Julai 31, 2012).Picha na Ismail Ngayonga

Popular Posts