Pages

Sunday, June 24, 2012

GARI LENYE SHEHENA YA POMBE LAPATA AJILI SUMBAWANGA







Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa




















baada ya ajaali hiyo kutokea kijiji cha Mshani km 19 kutoka Laela-Sumbawanga ilikuwa kama sherehe kwa wengine kwani wanakijiji walivamia gari na wakaruhusiwa kunywa watakavyo ila hakuna kuondoka na chupa.....asubuhi watu walikuwa wamelewa chakari...Maisha bora kwa kila Mtanzania...

Asante sana Reporter wetu Wa Rural & Urban Kutoka Sumbawanga Veronica

Popular Posts