Waziri Wa Uchukuzi  Dk. Harrison Mwakyembe akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu bungeni mjini Dodoma jana.
    Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo   (CHADEMA), Lucy Kiwelu, akichangia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu   bungeni mjini Dodoma.
    Mbunge wa jimbo la Nkenge, Assumpter Mshamba (CCM), akichangia bajeti ya Ofisi ya Wazoro Mkuu, bungeni mjini Dodoma.
   Waziri  wa Fedha, William Mgimwa akibadilishana mawazo na Naibu Waziri wa  Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, nje ya Ukumbi wa  bunge mjini Dodoma.
    Mbunge wa Moshi Mjini, Phillemon  Ndesamburo (Chadema),akisalimiana na mjasiliamali, Emma Kawawa ambaye  ni mtoto wa marehemu Rashid Mfaume Kawawa, walipokutana kwenye viwanja  vya bunge mjini Dodoma jana. Kulia ni Mbunge wa Viti Maalum, Lucy Owenye  (Chadema), ambaye ni mtoto wa Ndesamburo. 
   Kiongozi wa Kambi ya Upinzania Bungeni  an Mbunge wa Hai(CHADEMA),Freeman Mbowe(Kulia)akibadilishana mawazo na  Waziri wa Tamisemi, Hawa Ghasia  nje ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.Picha Zote na Joseph Senga