Pages

Sunday, June 24, 2012

TAMASHA LA WAJANJA WA VODACOM" KUFANYIKA LEO MOROGORO

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akisalimiana na Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu na Afisa Udhamini wa Vodacom Ibrahimu Kaude wa kwanza kushoto,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika leo kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh.Aziz Abood ambaye pia ni Mmiliki wa Abood Media,akimsikiliza jambo Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania,Bw.Matina Nkurlu,mara walipotembelea makao makuu ya Abood Media kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika Leo kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu,akifafanua jambo kwa mtangazaji wa kipindi cha “Nani Mkali”wakati wa mahojiano rasmi kwenye Radio ya Abood iliyopo mjini Morogoro mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika leo jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.
Afisa Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude akijibu moja ya maswali aliyokuwa akiulizwa na Mtangazaji mahiri wa kipindi cha “Nani Mkali”Bi.Zainabu Swaleh,kipindi hicho kinachorushwa na Radio ya Abood ya Mjini Morogoro, mara walipotembelea kituo hicho kwa lengo la kufanya mahojiano kwa ajili ya Tamasha la ”WAJANJA”litakalofanyika leo jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 12 jioni katika uwanja wa Jamhuri mjini humo.Tamasha hilo litaendelea kufanyika katika mikoa ya Mtwara na Tanga,likiwa na lengo la kuwaelimisha wananchi kutumia mtandao wa kampuni hiyo kwa kuongea kwa robo shilingi na kutuma ujumbe kwa shilingi ishirini na tano kwenda mtandao wowote nchini na kutumia facebook na twitter bure.

Popular Posts