Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Kilimo, Chakula na  Ushirika, Christopher Chiza kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma  Juni  26, 2012 
   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Moshi Mjini Philemon  Ndesamburo (kushoto ) na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni Juni 26,2012.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Riziki  Lulida (katikati) na Mbunge wa Mchinga,Said Mtanda kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma Juni 26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu