Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa  Dar   es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Catherine Urio Cherahani wakati wa   kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja  vya  Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja  wa  Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
   Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu  wa Mkoa  Dar   es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Elizabeth Chami  Mashine ya   kutengenezea keki inayotumia gas na umeme wakati wa kukabidhi ruzuku    kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini   Dar es  Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari   Lager, Oscar  Shelukindo na Ofisa mauzo wa Kanda wa TBL Victo Kavishe.
  Mkuu   wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu  wa Mkoa  Dar es Salaam   akimkabidhi Mjasiliamali, Christabela Lyimo  Compresor ya kupakia rangi   inayotumia  wakati wa kukabidhi ruzuku  kwa wajasiliamali wa Safari   Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es  Salaam mwishoni mwa   wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar  Shelukindo.