
  Katibu Mkuu wa  Umoja wa Mataifa, Ban Ki-Moon, akipiga picha ya pamoja ya kumbukumbu na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa  (kushoto) Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma  Fereji (wa pili kushoto) wakati walipkuwana katika hafla ya chakula cha  jioni, iliyoandaliwa na Rais wa Brazil,....kwa viongozi waliohudhuria  Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20)  uliomalizika mwishoni mwa wiki Jijini Rio de Jeneiro, nchini Brazil.  Picha na- Ofisi ya Makamu Wa Rais