
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wenyeji  wake  kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General  Chapter katika hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris  aliyoizindua leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. 
 
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza kama Mgeni Rasmi   kwenye sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika  hosteli ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko  Bagamoyo, Mkoa 
 
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na baadhi ya wanafunzi  wa kidato cha sita wa Marian Girls Secondary school kwenye kwenye  sherehe za "Holy Ghost Congregation 20th General Chapter katika hosteli  ya Misheni ya Kikatoliki ya Stella Maris aliyoizindua leo Juni 29. 2012  huko Bagamoyo, Mkoa wa Pwani
 
   Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa kwa shangwe  alipowasili katika ukumbi wa mikutano kwenye sherehe za "Holy Ghost  Congregation 20th General Chapter katika hosteli ya Misheni ya  Kikatoliki ya Stella Maris leo Juni 29. 2012 huko Bagamoyo, Mkoa wa  Pwani.