Pages

Wednesday, June 27, 2012

Kamati Ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama Yaanza Ziara ya Siku 14 katika Balozi za Tanzania Kukagua Namna Zinavyotekeleza Mambo ya Sera na Uchum

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana, muda mfupi kabla ya wajumbe wa kamati hiyo kuelekea nchini Canada, Marekani na Uingereza kwa ziara ya kujifunza.

Baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo.Picha Zote na Mpiga Picha Maalum wa Francis Dande

Popular Posts