Pages

Monday, August 6, 2012

Dkt Asha Rose Migiro Awapiga Msasa Wabunge Wanawake Wa Tanzania Mjini Dodoma

Ndipo Spika wa Bunge Anne Makinda(Kushoto)akimwandalia na kumkaribisha mgeni wake kwenye futari maalum katika cafeteria ya Bunge.
Mdau Prosper Minja Wa Bunge nae alipata fursa ya kukutana na hii nyota ya Afrika
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake Dkt Asha Rose Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda pamoja na wanachama wa chama cha wabunge wanawake wa Tanzania. Dkt Migiro yupo mjini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge. Ametumia fursa hiyo kukutana na wabunge wanawake na kuwaasa kufanya kazi kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya Tanzania.Picha zote na Prosper Minja-Bunge

Popular Posts