Spika  wa Bunge la Tanzania Mhe. Anne Makinda (kushoto) na Naibu Spika  Mhe.  Job Ndugai (Mb) kwa pamoja wakiwa na mazungumzo ya kina leo na  ujumbe  wa Tume ya Huduma za Bunge la Malawi ulioko nchini hivi sasa,  ambapo  pamoja na mambo mengine walizungumzia uhusiano mzuri wa mabunge  ya nchi  mbili hizi. Kushoto kwa Mhe. Ndugai ni Naibu Spika wa Bunge la  Malawi  Mhe.Juliana Mpande (Mb) ambaye ni mkuu wa msafara. Wengine  ni Kamishna   Alfred Mwechumu (Mb) na Kamishna Christina Chiwowo (Mb).
                      -