Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Kalenga na Waziri wa Fedha , William Mgimwa kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Agust 7, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Tabora Mjini , Aden Rage (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum Margaret Sitta kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma Agust 7, 2012. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu