Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya
 Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya ,kulila, akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni  UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam jana
Mgombea nafasi ya Mwenyekiti UWT Taifa Bi, Halima Mohamed Mamuya  kulia akirudisha fomu ya kuomba kugombea nafasi hiyo kwa Mkuu wa Idara ya Oganaizesheni  UWT Makao Makuu Bi Riziki Kingwande Dar es salaam