
 Ndugu wanachama wa chama cha  Mapinduzi,
  Tunapenda  kuwafahamisha kuwa Tawi la chama cha mapinduzi- DMV linategemea kufanya  mkutanao mkuu wa wanachama wote Kabla ya uzinduzi rasmi wa Tawi .  Mkutano huu utafanyika siku ya Jumapili, tarehe 18 August 2012, mahali  utakapofanyika ni 7901 MEADOW CREEK PARK, SILVERSPRING MARYLAND, Muda wa  mkutano ni 4.00 P.M JIONI. 
   ( TAFADHALI ZINGATIA MUDA).
  Baadhi ya Agenda za mkutano zitakuwa:
  1.     Kujadili Maendeleo ya Tawi
  2.     Taarifa Kamili ya Tawi
  3.     Kuandikisha wanachama wapya na utoaji wa kadi
  Kwa maelezo zaidi, tafadhali usisite kuwasiliana na wajumbe wafuatao:
  1.     Loveness Mamuya           
240 -423 -0437 
 
240 -423 -0437  2.     Yacob Kinyemi                   
202-629 -7841 
 
202-629 -7841  3.     Lemmy Mhando                
202-361-1059 
 
202-361-1059  4.     Alawi  Omary                      
301-592-7581 
 
301-592-7581  5.     Faraja Isongo                      
301-592-7581 
 
301-592-7581  6.     Benjamini Mwaipaja         
240-243-6737 
 
240-243-6737  7.     Hidaya Mahita                    
240-271-7799 
 
240-271-7799  8.     Halima Ali                             
240-988-4242 
 
240-988-4242   Wanachama wote wa CCM Mnakaribishwa
  Taarifa Imetolewa na
     ofisi ya Katibu wa Tawi-DMV