Pages

Thursday, August 9, 2012

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Akemea Uvuvi Haramu

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiendelea kukemea uvuvi haramu nchini alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Marumbi. Kulia ni Mwkilishi wa Jimbo la Chwaka Mh. Issa Haji Ussi na Kushoto ya Balozi ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mh. Abdulla Mwinyi.
Mvuvi Bwana Ali Bakari Othman wa Kijiji cha Mrumbi akipokea msaada wa shilingi 6,000,000/- kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kwa ajili ya ununuzi wa nyavu za Wavuvi wa kijiji hicho zilizoharibiwa tarehe 28 Febuari mwaka 2012.
Bwana Ufuso Haji haji akiwakilisha mawazo ya Wananchi wa Marumbi katika kuelezea kadhia zinazowakabili katika suala zima la uvuvi haramu ndani ya ghuba ya Chwaka.
Baadhi ya Wananchi wa Kijiji cha Marumbi wakimsikiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi hayupo pichani alipokuwa akizungumza nao kufuatia kadhia iliyowapata wavuvi wa Kijiji hicho kwa kuchomewa mashua zao mbili za Uvuvi tarehe 28/2/201

Popular Posts