Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(kulia)  akisaini  kitabu cha wageni jana mjini Dodoma alipotembelea banda la Wizara ya  Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane mjini Dodoma kuona  shughuli mbalimbali za Wizara hiyo katika maonyesho ya nanenae.Kushoto  ni Afisa kutoka Wizara ya Fedha Ramadhan Omary.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue(wa pili kulia)  akisamiliana  na watumishi na Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)Mchambuzi wa Mifumo ya  Komputya Ibrahim Sultan (katikati) na Afisa Taalum Mwandamizi  Mkiramwene Msafiri(kushoto) jana mjini Dodoma alipotembelea banda la  Wizara ya Fedha kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane mjini Dodoma.