Pages

Tuesday, August 7, 2012

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tomorrow International ya Korea Bw. David Kim Amtembelea Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenell

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara akisisitiza jambo wakati akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tomorrow International ya Korea Bw. David Kim (wa pili kutoka kwa Mhe. Waziri) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam ili kuzungumza namna ya kushirikiana na Wizara katika kuanzisha miradi mbalimbali kwa ajili ya kuwapa vijana fursa za ajira na kuwapa uelewa katika maswala ya teknolojia. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Vijana, Dkt. Elisante Ole Gabriel na katikati ni Mwenyekiti wa International Youth Fellowship Tanzania, Dkt. Kansolele Ntevi.Picha na Concilia Niyibitanga, Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo.

Popular Posts