Spika  wa Bunge la Tanzania akiwa na mazungumzo na Uongozi wa  Serikali ya  Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam waliofika ofisini  kwake  Dodoma leo. Spika Makinda amewataka na kuwaasa kuwa na uzalendo  kwa  nchi  yao.Picha na Prosper Minja -  Bunge
                      -