Pages

Tuesday, August 7, 2012

RAIS WA TANZANIA AWASILI SALAMA JIJINI KAMPALA UGANDA

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Entebbe,Uganda tayari kuhudhuria mkutano wa siku mbili wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu unaofanyika katika Hoteli ya Speke's Bay, Munyonyo jijini Kampala, Uganda .Picha na Freddy Maro-IKULU

Popular Posts