
 WAZIRI WA NCHI ,OFISI YA RAIS ,ASIYE NA WIZARA MAALUM ,PROF.MARK JAMES MWANDOSYA  AKITOKA NJE YA BUNGE NA KUWA NA MAZUNGUMZO NA MBUNGE  DEO FILIKUNJOMBE (CCM)  KWENYE VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO.

MAMA TERRY AKIWA NA MAZUNGUMZO NA MAWAZIRI, WA KWANZA KUSHOTO NI WAZIRI WA UCHUKUZI MHE. HARRISON GEORGE MWAKYEMBE NA NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII MHE. LAZARO  SAMUEL NYALANDU KATIKATI BUNGENI MJINI DODOMA

WAZIRI MKUU MSTAAFU WA ZAMANI  MHE. EDWARD LOWASSA AKIZUNGUMZA NA MAMISS WALIOPITA, KUSHOTO NI FARAJA KOTA(MRS. NYALANDU) NA NANCY SUMARI WALIPOPATA NAFASI YA KUTEMBELEA BUNGE MJINI DODDMA LEO

 BAADHI YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA LA  MARIAM  GIRLS  WAKISIKILIZA KWA MAKINI WAKATI WA MAJADILIANO YA BUNNGE WALIPOPATA NAFASI YA KUINGIA  BUNGENI MJINI DODOMA LEO

 WAANDISHI WA HABARI WA VYOMBO VYO HABARI WAKIRIPOTI HABARI ZA BUNGE MJINI DODOMA.

MBUNGE WA  VITI MAALUM (CCM MARA) MHE. ESTER BULAYA WATATU KUSHOTO AKIZUNGUMZA  NA MAMISS WALIOPITA, WA KWANZA KUSHOTO NI MISS FARAJA KOTA(MRS. NYALANDU), WA PILI NI NANCY SUMARI PAMOJA NA WAFANYAKAZI WA BUNGE KULIA, NJE YA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODDMA LEO.PICHA ZOTE  NA ANNA ITENDA – MAELEZO.