Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati  Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari  wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement for Change - M4C iliyopo  chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana katika  harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi milioni 70 na  ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika katika hoteli  ya Serena jijini Dar.
    Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari.
    Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari huku pembeni yake akiwepo Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema.
     Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.