Uhakiki wa Wanachama wa ADC Dodoma tar. 06.08.2012, Uhakiki uliovunja rekodi kwa idadi ya Wanachama Tanzania tangu kuanza kwa Mfumo wa vyama Vingi vya Siasa nchini. Wanachama 350 walihakikiwa. Baada ya Dodoma safari Mtwara tar. 17.08.2012 halafu Lindi funga kazi Dar es Salaam tar. 23.08.2012.
-